Thomas Mann (6 Juni 187512 Agosti 1955) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa riwaya zake, k.m. "Akina Buddenbrook" (kwa Kijerumani Buddenbrooks, iliyotolewa mwaka wa 1900), "Kifo katika mji wa Venice" (Tod in Venedig, 1912), "Mlima wa Ajabu" (Der Zauberberg, 1924) au "Maungamo ya Felix Krull, Tapeli" (Bekenntnisse des Hochstaplers Felix Krull, 1954). Pia aliandika insha nyingi. Mwaka wa 1929 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Thomas Mann (mwaka wa 1937)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Mann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
os 2