Thomas R. Berger

Mwanasheria , mwanasiasa, na hakimu wa Kanada

Thomas Rodney Berger ( 23 Marchi 193328 Aprili 2021).[1] Berger's last year as an MLA was 1969. Alikuwa mwanasiasa na mwanasheria wa Kanada. Alikuwa miongoni mwa waliokuwa Bunge la makabwela mwanzoni mwa miaka 1960 akiingia katika siasa za majimbo baada ya hapo. Aiongoza chama cha British Colombia New Democratic Party mnamo 1969. Baada ya kustaafu Berger aliendelea kutekeleza sheria na kuhudumu katika nyadhfa mbalimbali za umma. Alikuwa mwanachama wa Order of Canada na Order of British Columbia.[2]

Thomas R. Berger

Marejeo

hariri
  1. Calder v British Columbia (Attorney General), [1973] SCR 313 Archived Machi 25, 2021, at the Wayback Machine
  2. "Berger, Thomas R(odney) 1933–". Contemporary Authors. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 20, 2020. Iliwekwa mnamo Aprili 30, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  NODES