Vagalitanus

Mji katika ufalme wa Kirumi

Vagal au Vagalitanus ni mji wa kale wa Dola la Roma. Ulikuwa katika jimbo la Mauretania Caesariensis. Miji ya jirani yake ni Castellum Tingitanum (El Asnam) na Catabum Castra (Djidioua). Mgodi wa Malakoff ulikuwa kaskazini-mashariki mwa Vagalitanus.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vagalitanus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES