When You're Looking Like That

"When You're Looking Like That" ni wimbo kutoka kwa kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Westlife. Wimbo huu ulitolewa nchini Australia, Kusini Mashariki mwa bara la Asia, Latin Amerika na katika baadhi ya maeneo ya bara la Ulaya. Mwezi wa nne wa mwaka 2008, kundi la muziki la Ujerumani pia liliweza kuimba wimbo huu.

“When You're Looking Like That”
“When You're Looking Like That” cover
Single ya Westlife
Aina Pop
Urefu 3:55
Studio RCA
Certification Gold (SWE)
Mwenendo wa single za Westlife
"Uptown Girl"
(2001)
(10)
"When You're Looking Like That"
(2001)
(11)
"Queen of My Heart"
(2001)
(12)

Mtiririko wa nyimbo

hariri
  1. When You're Looking Like That (Single Remix) - 3:52
  2. Con Lo Bien Que Te (When You're Looking Like That - Single Remix) - 3:52
  3. Don't Get Me Wrong - 3:43
  4. I'll Be There - 3:54
  5. When You're Looking Like That (Video) - 3:52
Chati Ilipata
nafasi
Chati ya single ya Australian 19
Chati single ya Ubelgiji 19
Chati single ya Denmark 6
Chati ya single ya Ujerumani 24
Chati ya single ya Uholanzi 23
Chati ya single ya New Zealand 30
Chati ya single ya Roma 43[1]
Chati ya single ya Sweden. 9
Chati ya single ya Uswis. 47
Chati ya Radio Airplay ya Uingereza. 50B

Marejeo

hariri
  1. "Romanian Top 100". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-30. Iliwekwa mnamo 2009-12-31.

Viunga vya nje

hariri
  NODES
chat 13