== Jalada (Archive) ==

Usimamizi wa Wikipedia ya Kiswahili

Kwa jumla shughuli za usimamizi ni pamoja na: kupitia mara kwa mara ukurasa wa Mabadiliko ya karibuni, kuangalia makala mpya na mabadiliko, kufuta spam dhahiri, kupeleka makala zisizofaa kwenye ukurasa wa ufutaji, kushiriki katika ufutaji, kukaribisha wageni. Kila mtumiaji anaweza kushiriki katika sehemu kubwa ya kazi hizo.

Wanawikipedia wamechaguliwa kutekeleza shughuli za pekee zisizopatikana kwa kila mtu.

Mkabidhi (Kiingereza admin au sysop) ni mhariri anayeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.

Mrasimu (Kiingereza bureaucrat) ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).

Wakabidhi (Administrators)

(orodha imeangaliwa upya tarehe 16 Julai 2023).

BOTs: please use the Wikipedia:Bots page to request bot status, and one of the bureaucrats will deal with it.

  • Mrasimu (Bureaucrat)

Tumeamua kwamba mkabidhi asipohariri kwenye swwiki kwa muda wa mwaka mzima afutwe kama mkabidhi.

Taratibu za uchaguzi zilizokubaliwa

Utaratibu wa kupiga kura

Utaratibu ufuatao umekubaliwa kati ya wakabidhi na kutumika tangu Septemba mwaka 2020 (tazama ukurasa wa majadiliano)

a) Mpiga kura awe aliyewahi kuandikishwa tangu mwezi 1 (hatutaki waliojiandikisha jana kwa kumpigia kura rafiki leo)
b) aliyewahi kuhariri makala 3 kwenye swwiki (nje ya ukurasa wake mwenyewe; haitoshi kutunga/kusahihisha makala 1-2 pekee)
c) aliyehariri katika miezi 12 kabla ya kura yetu

Utaratibu wa kutambua wakabidhi

Kulingana na utaratibu jinsi ilivyo katika wikipedia nyingi inapendekezwa

A) Mkabidhi ambaye hajahariri kwa miezi 12 anaondolewa haki zake za ukabidhi; akirudi anaweza kurudishwa kwa mapatano ya wakabidhi waliopo
B) Mkabidhi aliyepo na kuhariri ataendelea (linganisha orodha juu kabisa)
(imekubaliwa kwa kura ya jumuiya kwenye Septemba 2020)

Utaratibu wa kuchaguliwa mkabidhi

Mgombea anayepokea zaidi ya nusu ya idadi ya kura zote zilizotolewa kwenye uchaguzi atachaguliwa kuwa mkabidhi.

(imekubaliwa kwa kura ya jumuiya kwenye Aprili 2023)

Jenga Wikipedia ya Kiswahili

Wakabidhi walianzisha kundi la Jenga Wikipedia ya Kiswahili. Kama umekuwa mchangiaji hapa swwiki kwa muda wa mwaka 1 au zaidi na ungependa kujadiliana nasi kuhusu njia za kuendeleza Wikipedia hii ya Kiswahili, basi tembelea ukurasa ule wa Meta na ujiandikishe.

Uchaguzi wa wakabidhi wa nyongeza / KURA IMEKWISHA

Mkutano wa wakabidhi kwenye tarehe 01.04.2023 uliona kuwa mkabidhi mmoja aliondoka baada ya kutohariri kwa mwaka mmoja. Hivyo ni vema kuongeza tena idadi ya wakabidhi. Kuanzia leo tarehe 16.04. hadi 23.04.2023 kuna nafasi ya kupiga kura.

Utaratibu wa Kupiga kura

Una haki ya kupiga kura kama a) umewahi kuandikishwa tangu mwezi 1 (yaani tangu 1 Machi 2023)
b) umewahi kuhariri makala 3 kwenye swwiki (nje ya ukurasa wako mwenyewe; haitoshi kutunga/kusahihisha makala 1-2 pekee)
c) umehariri katika miezi 12 kabla ya kura, yaani tangu Machi 2022
Andika alama ya ~~~~ kwenye nafasi ya "Nakubali" au "Sikubali" kwa kila jina. Unaruhusiwa kutaja sababu zako katika mabano baada ya alama ya ~~~~

WAGOMBEA

Usitumie nafasi ya "jibu"!

1 Anuary Rajabu (majadiliano) 18:52, 1 Aprili 2023 (UTC) (sifa za mgombea ona hapa)[jibu]
Nakubali: Kipala (majadiliano) 00:56, 16 Aprili 2023 (UTC), --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:54, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Anuary Rajabu (majadiliano) 06:41, 16 Aprili 2023 (UTC) ana maarifa mazuri ,mchangiaji anaejitolea mara kwa mara,anastahili Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC) --- CaliBen (majadiliano) 07:57, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Gladys Gibbs (majadiliano) 08:00, 16 Aprili 2023 (UTC) Asterlegorch367 (majadiliano) 09:07, 16 Aprili 2023 (UTC) MagoTech Tanzania (majadiliano) 16:13, 16 Aprili 2023 (UTC) HappyDeLuckiest (majadiliano) 16:16, 16 Aprili 2023 (UTC) Codtz (majadiliano) 20:47, 16 Aprili 2023 (UTC) Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 17 Aprili 2023 (UTC)Kyle Heaven (majadiliano) 06:20, 19 Aprili 2023 (UTC)Ezekieli Shayo (majadiliano) 06:23, 19 Aprili 2023 (UTC)---Kelvin-Meena (majadiliano) 06:27, 19 Aprili 2023 (UTC)Siwema Nikini (majadiliano) 09:19, 19 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Sikubali:

2 Justine Msechu (majadiliano) (sifa za mgombea ona hapa)
Nakubali: Kipala (majadiliano) 00:56, 16 Aprili 2023 (UTC), --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:54, 16 Aprili 2023 (UTC) ana ujuzi mzuri,na mchangiajia wa mara kwa mara Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC) --- CaliBen (majadiliano) 07:57, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Gladys Gibbs (majadiliano) 08:00, 16 Aprili 2023 (UTC) Asterlegorch367 (majadiliano) 09:07, 16 Aprili 2023 (UTC) Abubakari Sixberth (majadiliano) 13:07, 16 Aprili 2023 (UTC) MagoTech Tanzania (majadiliano) 16:13, 16 Aprili 2023 (UTC) HappyDeLuckiest (majadiliano) 16:16, 16 Aprili 2023 (UTC) Codtz (majadiliano) 20:47, 16 Aprili 2023 (UTC) Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 17 Aprili 2023 (UTC)Kyle Heaven (majadiliano) 06:20, 19 Aprili 2023 (UTC)Ezekieli Shayo (majadiliano) 06:23, 19 Aprili 2023 (UTC)---Kelvin-Meena (majadiliano) 06:27, 19 Aprili 2023 (UTC)Siwema Nikini (majadiliano) 09:19, 19 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Sikubali:

3 Christian Anold Mosha (majadiliano) (sifa za mgombea ona hapa)
Nakubali:anaweza kuchangia vizuri, tunaweza kuwa nae ili kuongeza idadi ya wakabidhi wanawake,maana tunae mmoja tu hadi sasa Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC) --- Mtumiaji huyu ni mbobevu mwanzoni alikua na akaunti yenye jina Mary ilitokea kwamba akaunti yake ilifungiwa na hivyo akafungua akaunti mpya hii. Ona michango yake kwenye hii akaunti ya zamani hapa [1] CaliBen (majadiliano) 07:57, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Gladys Gibbs (majadiliano) 08:00, 16 Aprili 2023 (UTC)Christina Praygod (majadiliano) 12:20, 16 Aprili 2023 (UTC)Praygod mwanga (majadiliano) 12:39, 16 Aprili 2023 (UTC) MagoTech Tanzania (majadiliano) 16:13, 16 Aprili 2023 (UTC) HappyDeLuckiest (majadiliano) 16:16, 16 Aprili 2023 (UTC) Codtz (majadiliano) 20:47, 16 Aprili 2023 (UTC) Mimi Prowess (majadiliano) 21:04, 16 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Sikubali: Kipala (majadiliano) 00:56, 16 Aprili 2023 (UTC) (hajapata maarifa bado) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:54, 16 Aprili 2023 (UTC) Asterlegorch367 (majadiliano) 09:15, 16 Aprili 2023 (UTC) Naona bado hana uzoefu wa kutosha, ana gap kama mwakamzima kuanzia Aprili 2022 and Februari 2023 ambapo hakua anachangia Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 17 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

4 Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:02, 2 Aprili 2023 (UTC) - (sifa za mgombea ona hapa)[jibu]
Nakubali: Kipala (majadiliano) 00:56, 16 Aprili 2023 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:54, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Hussein m mmbaga (majadiliano) 06:05, 16 Aprili 2023 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC) --- CaliBen (majadiliano) 07:57, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Gladys Gibbs (majadiliano) 08:00, 16 Aprili 2023 (UTC) Asterlegorch367 (majadiliano) 09:07, 16 Aprili 2023 (UTC) MagoTech Tanzania (majadiliano) 16:13, 16 Aprili 2023 (UTC) HappyDeLuckiest (majadiliano) 16:16, 16 Aprili 2023 (UTC) Codtz (majadiliano) 20:47, 16 Aprili 2023 (UTC) Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 17 Aprili 2023 (UTC)---Super8 Devs (majadiliano) 06:06, 19 Aprili 2023 (UTC)---Kelvin-Meena (majadiliano) 06:09, 19 Aprili 2023 (UTC)---Bryson Kweka (majadiliano) 06:11, 19 Aprili 2023 (UTC)---Kyle Heaven (majadiliano) 06:18, 19 Aprili 2023 (UTC)Ezekieli Shayo (majadiliano) 06:23, 19 Aprili 2023 (UTC)Siwema Nikini (majadiliano) 09:19, 19 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Sikubali:

5 Nashfatty (majadiliano) 20:58, 9 Aprili 2023 (UTC) - (sifa za mgombea ona hapa)[jibu]
Nakubali:

Sikubali: Kipala (majadiliano) 00:56, 16 Aprili 2023 (UTC) (hajapata maarifa bado) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:54, 16 Aprili 2023 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC)hana maarifa ya kutosha,hachangii mara kwa mara Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC) Asterlegorch367 (majadiliano) 09:15, 16 Aprili 2023 (UTC) HappyDeLuckiest (majadiliano) 16:16, 16 Aprili 2023 (UTC) Codtz (majadiliano) 20:47, 16 Aprili 2023 (UTC) Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 17 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

6 Husseyn Issa (majadiliano) 03:05, 10 Aprili 2023 (UTC) - (sifa za mgombea ona hapa)[jibu]
Nakubali: --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:54, 16 Aprili 2023 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 07:45, 16 Aprili 2023 (UTC) --- CaliBen (majadiliano) 07:57, 16 Aprili 2023 (UTC) ---Gladys Gibbs (majadiliano) 08:00, 16 Aprili 2023 (UTC) --Husseyn Issa (majadiliano) 08:58, 16 Aprili 2023 (UTC) Asterlegorch367 (majadiliano) 09:07, 16 Aprili 2023 (UTC) MagoTech Tanzania (majadiliano) 16:13, 16 Aprili 2023 (UTC) HappyDeLuckiest (majadiliano) 16:16, 16 Aprili 2023 (UTC) Codtz (majadiliano) 20:47, 16 Aprili 2023 (UTC) Mimi Prowess (majadiliano) 21:05, 16 Aprili 2023 (UTC) Bs-Afrique (majadiliano) 21:09, 16 Aprili 2023 (UTC) Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 17 Aprili 2023 (UTC)Jonny Frosty (majadiliano) 15:38, 17 Aprili 2023 (UTC); Kipala (majadiliano) 11:59, 22 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Sikubali:

Matokeo ya uchaguzi

Walioshiriki kwenye uchaguzi walikuwa 25. Wawili hawakuwa na haki ya kupiga kura (mmoja alijiandikisha tu kwenye Aprili 2023, mmoja hakuhariri zaidi ya mwaka mmoja), hivyo idadi ya kura halali ilikuwa 23. Nusu yake ni 11.5, hivyo alichaguliwa aliyepata kura 12.

Waliochaguliwa: Anuari Rajabu (kura halali 13), Justine Msechu (kura halali 13), Hussein m mmbaga (kura halali 15), Husseyn Issa (kura halali 13).

Pendekezo kuhusu Utaratibu wa kuchaguliwa mkabidhi

Mkutano wa wakabidhi kwenye tarehe 01.04.2023 uliamua kupendekeza utaratibu fulani utakaopigiwa kura pamoja na uchaguzi ujao wa wakabidhi wa nyongeza:

Mgombea anayepokea zaidi ya nusu ya idadi ya kura zote zilizotolewa kwenye uchaguzi atachaguliwa kuwa mkabidhi.

Nakubali: Kipala (majadiliano) 00:39, 16 Aprili 2023 (UTC) Hussein m mmbaga (majadiliano) 07:12, 22 Aprili 2023 (UTC) Anuary Rajabu (majadiliano) 07:29, 22 Aprili 2023 (UTC)MagoTech Tanzania (majadiliano) 11:59, 22 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Sikubali:

Pendekezo la kuondoa WAKABIDHI wasio hai

Ndugu zangu, kumekuwa na mambo yameingia hapa na pale. Mzee Riccardo alinitafuta sandukuni kuhusu idadi ya wakabidhi kusoma 17 wakati kimsingi tupo 13. Hivyo basi kuna pendekezo la kuondoa haki za ukabidhi watuamiji wafuatao. Wengine wametangulia mbele za haki, wengine hawapo katika katika mradi. 1. User:Kipala 2. User:Sj 3. User:Manguboy 4. User:Ndesanjo

KUBALI

  Support: Ninakubali kuondolewa haki za mkabidhi kwa watajwa hapo juu.Muddyb Mwanaharakati Longa 19:08, 7 Julai 2024 (UTC) [jibu]

  Support Ninakubali kuondolewa haki za mkabidhi kwa watajwa hapo juu Anuary Rajabu (majadiliano) 21:20, 7 Julai 2024 (UTC) [jibu]

  Support: Ninakubali kuondolewa haki za mkabidhi kwa watajwa hapo juu Asterlegorch367 (majadiliano) 06:22, 8 Julai 2024 (UTC) [jibu]

  Support: Ninakubali kuondolewa kwa wakabidhi User:Kipala, User:Sj, User:Ndesanjo naUser:Manguboy Czeus25 Masele (majadiliano) 07:03, 8 Julai 2024 (UTC) [jibu]

  Support: Ninakubali kuondolewa haki za mkabidhi kwa watajwa hapo juu ingawa kwa kweli nilifikiri wameshaondolewa kwa utaratibu wa kawaida kutokana na kifo au kutowajibika kabisa kwa zaidi ya mwaka mmoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:40, 8 Julai 2024 (UTC) [jibu]

Ndugu, suala letu limetimizwa. Wahusika hapo juu wameondolewa katika haki ya mkabidhi. Ahsanteni sana kwa ushirkiano wenu. Muddyb Mwanaharakati Longa 12:04, 10 Julai 2024 (UTC)[jibu]
KATAA

  Oppose:

Ona pia

  NODES
admin 7