Wilaya ya Makueni ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Makueni
Mahali paWilaya ya Makueni
Mahali paWilaya ya Makueni
Wilaya ya Makueni katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Wote
Eneo
 - Jumla 8,008.9 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 884,527

Makao makuu yalikuwa Wote mjini.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Makueni.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Makueni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES