Wilaya ya Malindi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Nguzo ya Vasco da Gama na Bahari ya Hindi


Wilaya ya Malindi
Mahali paWilaya ya Malindi
Mahali paWilaya ya Malindi
Mahali pa Wilaya ya Malindi katika Kenya
Nchi Kenya
Mkoa Pwani
Mji mkuu Malindi
Eneo
 - Jumla 7,751 km²
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 544,303

Makao makuu yalikuwa mjini Malindi.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kilifi.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Malindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES