Yo! Bum Rush the Show

Yo! Bum Rush the Show ni jina la albamu ya kwanza ya mwanamuziki wa hip hop wa Public Enemy, ambayo ilitolewa mnamo mwaka wa 26 Januari 1987.

Yo! Bum Rush the Show
Yo! Bum Rush the Show Cover
Studio album ya Public Enemy
Imetolewa 26 Januari 1987
Imerekodiwa 1986 katika Spectrum City Studios
Aina hip hop
Urefu 46:44
Lebo Def Jam/Columbia Records
CK-40658
Mtayarishaji Rick Rubin (exec.), Bill Stephney, The Bomb Squad
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Public Enemy
Yo! Bum Rush the Show
(1987)
It Takes a Nation of Millions to Hold Us Back
(1988)
Single za kutoka katika albamu ya Yo! Bum Rush the Show


Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "You're Gonna Get Yours" - 4:04
  2. "Sophisticated Bitch" featuring Vernon Reid of Living Colour - 4:30
  3. "Miuzi Weighs a Ton" - 5:44
  4. "Timebomb" - 2:54
  5. "Too Much Posse" - 2:25
  6. "Rightstarter (Message to a Black Man)" - 3:48
  7. "Public Enemy No. 1" - 4:41
  8. "M.P.E." - 3:44
  9. "Yo! Bum Rush the Show" - 4:25
  10. "Raise the Roof" - 5:18
  11. "Megablast" 2:51
  12. "Terminator X Speaks With His Hands" - 2:13

Marejeo

hariri
  1. Hoard (2004), p. 661.
  Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yo! Bum Rush the Show kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES