Çanakkale ni mji uliopo katika bandari ya nchini Uturuki, katika Mkoa wa Çanakkale - kusini mwa (Asia) kwenye pwani ya Dardanelles (au Hellespont).

Picha ya Fararsi wa mbao kutoka filamu ya mwaka wa 2004 maarufu kama Troy.

Mkoa wa Çanakkale, upo kama Mkoa wa Istanbul, upo katika pande zote mbili, yaani Ulaya na Asia. Feri zimepita hapa moja kwa moja na kuelekea zake huko kaskazini mwa Ulaya.

Çanakkale ni karibu kidogo na mji mkuu wa Troy ya Kale. Farasi wa mbao kutoka katika filamu ya mwaka wa 2004 ya Troy ni kivutio kikubwa katika uso wa bahari hiyo.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Çanakkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES