1.Cuz
Abas Abdikarim Bakar (anayejulikana kama 1.Cuz; amezaliwa 23 Septemba 1997) ni msanii wa rap kutoka Uswidi mwenye asili ya Somalia kutoka Hässelby, Stockholm.[1]Anajulikana kwa kutumbuiza akiwa amevaa balaclava nyeupe kufunika kichwa chake, na hajawahi kufichua jina lake halisi kwa umma.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Hasti B och 1.Cuz bjuder på nya singeln "Somali" – en hyllningslåt till alla somalier". kingsizemag.se. Iliwekwa mnamo 13 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rapparen 1.Cuz – här är allt du vill veta om honom". nyheter24.se. 4 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 13 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1.Cuz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |