27 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Oktoba ni siku ya 300 ya mwaka (ya 301 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 65.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1728 - James Cook, mpelelezi kutoka Uingereza
- 1844 - Klas Pontus Arnoldson, mwanasiasa Mswidi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 1858 - Theodore Roosevelt, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906
- 1917 - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 1932 - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani
- 1943 - George Cain, mwandishi wa Marekani
- 1978 - Mrisho Mpoto, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1985 - Hussein Mkiety, maarufu kama Sharo Milionea, msanii na mchekeshaji kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1980 - John Van Vleck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 2008 - Ezekiel Mphahlele, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Evaristi, Trasea wa Eumenia, Namasi wa Clermont, Gaudioso wa Napoli, Odrani n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |