Aitana Bonmatí Conca (alizaliwa 18 Januari 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Catalonia,Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya FC Barcelona ligi kuu nchini Hispania na timu ya taifa ya Hispania. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji bora katika soka ya wanawake, na alishinda tuzo ya Ballon d'Or na tuzo ya mchezaji bora wa Wanawake wa FIFA kwa msimu wa 2022-23.[2][3]

Bonmatí akiwa na Barcelona mnamo 2024

Marejeo

hariri
  1. "Aitana". fcbarcelona.com. FC Barcelona.
  2. Chavala, Laura Busto. "Aitana Bonmatí wins 2023 Women's Ballon d'Or". Her Football Hub (kwa Kiingereza (Uingereza)).
  3. "'She was like a tsunami' - the unstoppable rise of Bonmati" – kutoka www.bbc.co.uk.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aitana Bonmatí kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1