Aleksandr Volkov

mchezaji wa volleyball kutoka Urusi

Aleksandr Aleksandrovich Volkov (Kirusi: Александр Александрович Волков, aliyezaliwa tarehe 14 Februari 1985) ni mchezaji wa mpira wa wavu anayetokea Urusi .

Mchezaji wa mpira wa wavu Aleksandr Volkov (2011)

Aleksandr Volkov ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Urusi na klabu ya Ural Ufa ya Urusi.

Alikuwa Bingwa wa Olimpiki mwaka 2012, alipata medali ya shaba katika michezo ya Olimpiki ya mpira wa wavu mwaka 2008 na medali ya dhahabu katika Kombe la Dunia la mpira wa wavu mwaka 2011, alipata medali ya fedha katika michuano ya Ulaya ya mpira wa wavu mwaka 2007.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleksandr Volkov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES