Aprikoti
Aprikoti ni tunda la mwaprikoti, mti wa jenasi Prunus katika familia Rosaceae.
Kwa kawaida, maaprikoti ni matunda ya spishi P. armeniaca, lakini P. brigantina, P. mandshurica, P. mume, na P. sibirica yanahusiana sana na matunda yao pia huitwa aprikoti.
Picha
hariri-
Maaprikoti-milima
-
Maaprikoti ya Japani
-
Aprikoti la Siberia
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aprikoti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |