Ashley Ann Cariño Barreto (aliyezaliwa Florida, 3 Agosti 1994) ni mwanamitindo kutoka Puerto Rico, mshindi wa Miss Universe Puerto Rico 2022. Atawakilisha Puerto Rico kwenye Miss Universe 2022.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Ashley Ann Cariño Barreto is Miss Universe Puerto Rico 2022". Missosology (kwa American English). 12 Agosti 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2022-08-31.
  NODES