Ashtarak
Ashtarak (Kiarmenia: Աշտարակ, maana yake mnara kwa Kiarmenia; pia unajulikana kwa Kirumi kama Achtarak na Ashtarakats’ Gyugh) ni mji wa viwanda huko nchini Armenia, kwenye eneo la Mto Kasagh takriban km 20 kutoka mjini kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan, na huu ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Aragatsotn. Mji huu una wakazi wapatao 30,000 wanaokalia mji huu, hii njia ya mkato muhimu sana kwa kukatizia na kuelekea kwenye miji mikubwa ya Armenia kama vile: Yerevan, Gyumri na Vanadzor.
Marejeo
hariri- Kiesling, Brady (2005), Rediscovering Armenia: Guide, Yerevan, Armenia: Matit Graphic Design Studio
- Ashtarak kwenye GEOnet Names Server
- Report of the results of the 2001 Armenian Census
Viungo vya Nje
hariri- Cilicia.com article on the region Archived 16 Mei 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ashtarak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |