Asidi hidrokloridi

Asidi hidrokloridi ni kemikali ambayo ni mmumunyo wa gesi ya kloridi ya hidrojeni HCl katika maji.

Asidi hidrokloridi

Asidi hidrokloridi huweza kupatikana katika maabara za kisayansi na pia ndani ya tumbo la binadamu.

Asidi hiyo tumboni hutumika katika kuua bakteria wanaokuja pamoja na chakula kilichomezwa na mtu na hasa kuvunja molekuli za chakula kwa umeng'enyaji.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asidi hidrokloridi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
HOME 1
os 3