Bata mchovya
Bata mchovya | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 17:
|
Mabata wachovya ni ndege wa majini wa nusufamilia Anatinae katika familia Anatidae.
Spishi hizi hula mimea ya majini na huzamia kichwa chao tu; nyingine hutafuta chakula aghalabu ardhini.
Miguu yao iko karibu zaidi ya katikati ya mwili kuliko miguu ya mabata wazamaji na kwa sababu hiyo wanaweza kutembea vizuri. Hutokea kwa makundi kwa maji baridi au milango ya mito.
Hujenga matago yao ardhini au ndani ya shimo. Wanaweza kuruka angani vizuri na spishi za kanda za kaskazini huhamia kusini kila majira ya baridi.
Uainisho wa Anatinae hauna hakika. Hapa jenasi kumi zimewekwa ndani ya familia ndogo hii zilizopo bado, na pia jenasi tatu zilizokwisha sasa. Visukuku vya spishi ndogo vimefunuliwa katika kisiwa cha Rota (Visiwa vya Mariana) ambayo inafanana na jenasi Anas.
Spishi za Afrika
hariri- Aix galericulata, Bata Mdogo wa Uchina (Mandarin Duck) imewasilishwa
- Aix sponsa, Bata Mdogo wa Carolina (Carolina or Wood Duck) imewasilishwa
- Anas acuta, Bata Kipini (Northern Pintail)
- Anas bernieri, Bata wa Madagaska (Bernier's au Madagascar Teal)
- Anas capensis, Bata Kusi (Cape Teal)
- Anas crecca, Bata Mabawa-kijani (Eurasian Teal)
- Anas eatoni, Bata wa Eaton (Eaton’s Pintail)
- Anas e. drygalskii, Bata wa Kisiwa cha Crozet (Crozet Pintail)
- Anas e. eatoni, Bata wa Kisiwa cha Kerguelen (Kerguelen Pintail)
- Anas erythrorhyncha, Bata Domo-jekundu (Red-billed Teal)
- Anas melleri, Bata wa Meller (Meller’s Duck)
- Anas platyrhynchos, Bata wa Ulaya (Mallard) imewasilishwa
- Anas sparsa, Bata Mweusi (African Black Duck)
- Anas s. leucostigma, Bata Mweusi Kaskazi (Northern African Black Duck)
- Anas s. sparsa, Bata Mweusi Kusi (Southern African Black Duck)
- Anas theodori, Bata wa Morisi (Mauritian Duck au Mascarene Teal) imekwisha sasa (miaka 1690)
- Anas undulata, Bata Domo-njano (Yellow-billed Duck)
- Anas u. ruppelli, Bata Domo-njano Kaskazi (Northern Yellow-billed Duck)
- Anas u. undulata, Bata Domo-njano Kusi (Southern Yellow-billed Duck)
- Cairina moschata, Bata-kaya (Barbary or Muscovy Duck) imewasilishwa na hufugwa
- Mareca penelope, Bata Domo-kijivu (Eurasian Wigeon)
- Mareca strepera, Bata Kijivu (Gadwall)
- Nettapus auritus, Bata Salili (African Pygmy Goose)
- Nettapus coromandelianus, Bata Salili wa Asia (Cotton Pygmy Goose) imewasilishwa
- Pteronetta hartlaubii, Bata-misitu (Hartlaub’s Duck)
- Spatula clypeata, Bata Sepeto (Northern Shoveler)
- Spatula discors, Bata Mabawa-buluu (Blue-winged Teal)
- Spatula hottentota, Bata Domo-buluu (Hottentot Teal)
- Spatula querquedula, Bata Mchirizi-mweupe (Garganey)
- Spatula smithii, Bata Sepeto Kusi (Cape Shoveler)
Spishi za mabara mengine
hariri- Amazonetta brasiliensis (Brazilian Teal)
- Anas albogularis (Andaman Teal)
- Anas andium (Andean Teal)
- Anas aucklandica (Auckland Islands Teal)
- Anas bahamensis (White-cheeked Pintail)
- Anas carolinensis (Green-winged Teal)
- Anas castanea (Chestnut Teal)
- Anas chlorotis (Brown Teal)
- Anas diazi (Mexican Duck)
- Anas flavirostris (Yellow-billed Teal)
- Anas fulvigula (Mottled Duck)
- Anas georgica (Yellow-billed Pintail)
- Anas gibberifrons (Sunda Teal)
- Anas gracilis (Grey Teal)
- Anas laysanensis (Laysan Duck)
- Anas luzonica (Philippine Duck)
- Anas nesiotis (Campbell Island Teal)
- Anas poecilorhyncha (Indian Spot-billed Duck)
- Anas rubripes (American Black Duck)
- Anas superciliosa (Pacific Black Duck)
- Anas wyvilliana (Hawaiian Duck)
- Anas zonorhyncha (Eastern Spot-billed Duck)
- Asarcornis scutulata (White-winged Duck)
- Callonetta leucophrys (Ringed Teal)
- Chelychelynechen quassus (Turtle-jawed Goose) imekwisha sasa
- Chenonetta jubata (Maned Duck)
- Lophonetta specularioides (Crested Duck)
- Mareca americana (American Wigeon)
- Mareca falcata (Falcated Duck)
- Mareca marecula (Amsterdam Wigeon) imekwisha sasa
- Mareca sibilatrix (Chiloe Wigeon)
- Nettapus pulchellus (Green Pygmy Goose)
- Ptaiochen pau (Moa-nalo) imekwisha sasa
- Salvadorina waigiuensis (Salvadori's Teal or Duck)
- Sibirionetta formosa (Baikal Teal)
- Spatula cyanoptera (Cinnamon Teal)
- Spatula platalea (Red Shoveler)
- Spatula puna (Puna Teal)
- Spatula rhynchotis (Australasian Shoveler)
- Spatula versicolor (Silver Teal)
- Speculanas specularis (Bronze-winged Duck)
- Thambetochen chauliodous (Moa-nalo) imekwisha sasa
- Thambetochen xanion (Moa-nalo) imekwisha sasa
Picha
hariri-
Bata mdogo wa Uchina
-
Bata mdogo wa Carolina
-
Bata kipini
-
Bata wa Madagaska
-
Bata kusi
-
Bata sepeto
-
Bata mabawa-kijani
-
Bata mabawa-buluu
-
Bata wa Eaton
-
Bata domo-jekundu
-
Bata domo-buluu
-
Bata wa Meller
-
Bata domo-kijivu
-
Bata wa Ulaya
-
Bata mchirizi-mweupe
-
Bata sepeto kusi
-
Bata mweusi
-
Bata kijivu
-
Bata-kaya
-
Bata salili
-
Bata salili wa Asia
-
Bata-msitu
-
Brazilian teal
-
American wigeon
-
White-cheeked pintail
-
Green-winged teal
-
Chestnut teal
-
Auckland Islands teal
-
White-cheeked pintail
-
Green-winged teal
-
Chestnut teal
-
Brown teal
-
Cinnamon teal
-
Falcated duck
-
Yellow-billed teal
-
Baikal teal
-
Mottled duck
-
Yellow-billed pintail
-
Sunda teal
-
Grey teal
-
Laysan duck
-
Philippine duck
-
Campbell teal
-
Red shoveler
-
Indian spot-billed duck
-
Puna teal
-
Australasian shoveler
-
American black duck
-
Chiloe wigeon
-
Pacific black duck
-
Silver teal
-
Hawaiian duck
-
White-winged duck
-
Ringed teal
-
Maned duck
-
Crested duck
-
Green pigmy goose
-
Bronze-winged duck
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bata mchovya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |