"Black or White" ilikuwa single ya kwanza kuchukuliwa kwenye albamu ya Michael Jackson ya Dangerous, imetoka tarehe 11 Novemba katika mwaka wa 1991. Single hii ilipata kusifiwa kwamba ni wimbo bora wa rock uliouza sana kwenye miaka ya 1990. "Black or White" ni mchanganyiko wa hard rock, dance na rap.

“Black or White”
“Black or White” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
Imetolewa 11 Novemba 1991
Muundo 7" single
12" single
CD single
Imerekodiwa 1990
Aina Hard rock

Rock

Urefu 3:22 (haririo la redio)
4:16 (toleo la albamu)
Studio Epic
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Liberian Girl"
(1989)
"Black or White"
(1991)
"Remember the Time"
(1992)

Umetungwa, na kuandaliwa na Jackson na mashairi ya rap yameimbwa na Bill Bottrell. Wimbo huu unazungumzia hali ya kuungana kirangi.

Wimbo umeshika nafasi ya kwanza katika chati za US Billboard Hot 100 na UK Singles Chart, na vilevile imeshika chati kadhaa kwenye nchi zingine 18.

Historia

hariri

Orodha ya nyimbo

hariri

Toleo halisi

hariri
  1. "Black or White" (7" Version) – 3:22
  2. "Black or White" (Instrumental) – 3:22
  3. "Smooth Criminal" – 4:10

Toleo la Visionary

hariri
CD side
  1. "Black or White" (Single version) – 3:22
  2. "Black or White" (Clivillés & Cole House Guitar Radio Mix) – 3:50
DVD side
  1. "Black or White" (muziki wa video)
Chati (1991) Nafasi
iliyoshika
Marekani - US Billboard Hot 100 1
Uingereza - UK Singles Chart 1
Australia 1
Brazil 1
Ubelgiji 1
Kanada 1
Ufaransa 1
Ireland 1
Italia 1
New Zealand 1
Norwei 1
Singapore 1
Hispania 1
Sweden 1
Swiss Singles Chart 1[1]
Austria 1
Ujerumani 1
Denmark 1
Uholanzi 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 17
Danish Singles Chart 22
New Zealand Singles Chart 16[2]
Norwegian Singles Chart 18
Swiss Singles Chart 7[1]
UK Singles Chart 25[3]

Matunukio

hariri
Nchi Matunukio Mauzo
Marekani Platinum 1,000,000
Australia 2xPlatinum[4] 140,000[4]
New Zealand Platinum[2] 15,000[2][5]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  2. 2.0 2.1 2.2 "The Official New Zealand Music Chart". Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help); Unknown parameter |= ignored (help)
  3. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Julai 11, 2009. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2009. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  4. 4.0 4.1 "Aria 50 Top Singles Charts". Australian Recording Industry Association (ARIA). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  5. "The Official New Zealand Music Chart: Charts Facts". Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Black or White kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Association 3
chat 6