Bodimama (kwa Kiingereza: Motherboard) ni kati ya printed circuit board (PCB) katika kompyuta nyingi na inawezesha mawasiliano katika mfumo wa vifaa vya elektroniki. Wakati mwingine hujulikana kama bodi kuu, mfumo wa bodi, bodi ya mantiki[1] na hata mobo tu.

Marejeo

hariri
  1. Miller, Paul (2006-07-08). "Apple sneaks new logic board into whining MacBook Pros". Engadget. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-04. Iliwekwa mnamo 2013-10-02. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)

Viungo vya nje

hariri
  NODES
Project 1