Bruce Arthur Artwick (alizaliwa 1 Januari, 1953) [1] ni mhandisi wa programu za kompyuta wa nchini Marekani.

Maisha ya awali na elimu

hariri

Artwick alizaliwa na kukulia huko Norridge, Illinois, na alisoma katika Chuo cha Triton Junior kabla ya kuhamishiwa katika Chuo kikuu cha Illinois huko Urbana-Champaign na kusoma uhandisi wa kompyuta mnamo 1973.


Marejeo

hariri
  1. "Bruce Artwick". Flight Simulator History Website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-21. Iliwekwa mnamo 2019-09-09. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruce Artwick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES