Debora Green (alizaliwa Februari 28, 1951) ni daktari wa Marekani aliyekubali mashitaka bila kukiri hatia kwa kuchoma moto nyumba ya familia yake mwaka 1995, moto ambao uliua watoto wake wawili, pia kuwekea sumu mume wake kwa nia ya kusababisha kifo.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Debora Green kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES