Aubrey Drake Graham (amezaliwa 24 Oktoba, 1986) ni msanii, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Kanada. Hasa anajulikana kwa jina lake la kisanii Drake, au pia kama Drizzy.

Mwonekano wa Drake 2016

Kuanzia 2001 hadi 2009 aliigiza katika novela ya TV iliyoitwa Degrassi.

Tangu 2006 pia alifanya muziki, hasa rap.

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Drake kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES