Emma wa Gurk (labda Kozje, Slovenia, 980 - Gurk, Karinthia, leo nchini Austria, 27 Juni 1045) alikuwa Mkristo wa ukoo wa kikabaila, ambaye baada ya kufiwa mume na watoto wake wote wawili, aliishi bado miaka 40 akitoa misaada kwa maskini na kwa Kanisa[1].

Mchoro wa ukutani ukimwonyesha Mt. Emma huko Nova Cerkev, Slovenia.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius XI tarehe 5 Januari 1938.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Juni[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Hourihane, Colum, ed. (2016). "Gurk Cathedral". The Grove Encyclopedia of Medieval Art and Architecture. 2. Oxford University Press.
  • Messner, Sepp, 1995: Hemma von Gurk. Wesentliches kurz gefaßt. Kolbnitz: S. Messner.
  • Prenner-Walzl, Irene Maria, 1987: Das Leben der Heiligen Hemma von Gurk und dessen künstlerische Ausdeutung im Laufe der Geschichte. (Thesis) University of Graz.
  • Till, Josef, 1999: Hemmas Welt. Hemma von Gurk - ein Frauenschicksal im Mittelalter. Klagenfurt/Celovec: Hermagoras/Mohorjeva. ISBN 3-85013-634-5
  • Tropper, Peter Günther (ed.), 1988: Hemma von Gurk. (Exhibition catalogue) Carinthia, Klagenfurt. ISBN 3-85378-315-5
  • Vieser, Dolores, 1999: Hemma von Gurk. Carinthia, Klagenfurt. ISBN 3-85378-505-0
  • Wolfram, Herwig (2006). Conrad II, 990-1039: Emperor of Three Kingdoms. Pennsylvania University Press.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES