Eva Jacqueline Longoria (amezaliwa 15 Machi 1975) ni mshindi wa tuzo ya Golden Globe-mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchi ya Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Gabrielle Solis aliloigiza katika tamthilia ya Desperate Housewives iliyokuwa inarushwa hewani na televisheni ya ABC ya Marekani.

Eva Longoria

Eva Longoria, mnamo 2022.
Amezaliwa Eva Jacqueline Longoria
Machi 15 1975 (1975-03-15) (umri 49)
Corpus Christi, Texas, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1999-hadi leo
Ndoa Tyler Christopher (2002-2004)
Tony Parker (2007-2011)
José Bastón (2016-hadi leo)
Watoto 1

Maisha ya kibinafsi

hariri

Eva Longoria aliolewa na mwigizaji Tyler Christopher kutoka mwaka wa 2002 hadi 2004.[1] Longoria alikutana na Tony Parker mnamo Novemba 2004, na akaposwa mnamo 30 Novemba 2006.[2] Wawili hawa walioana mjini Paris mnamo 6 Julai 2007 katika sherehe ya Kikatoliki.[3]

Filamu

hariri
Television
Mwaka Jina la kipindi Aliigiza kama Maelezo
2004–2012 Desperate Housewives Gabrielle Solis Mwigizaji Mkuu
Maigizo Mengine Madogo
Mwaka Kipindi Aliigiza kama Maelezo
2000 Beverly Hills, 90210 Mhudumu wa ndege #3 "I Will Be Your Father Figure" (Msimu wa 10, kipindi 19)
2000 General Hospital Brenda Barrett Lookalike "Kipindi cha tarehe 25 Septemba 2000"
2001–
2003
The Young and the Restless Isabella Braña Williams "Kipindi #1.7136"
"Kipindi #1.7142"
"Kipindi #1.7149"
"Kipindi #1.7261"
2003–
2004
Dragnet Det. Gloria Duran "Daddy's Girl" (Msimu 2, kipindi 1)
"Coyote" (Msimu 2, kipindi 2)
"17 in 6" (Msimu 2, kipindi 3)
"The Magic Bullet" (Msimu 2, kipindi 4)
"Slice of Life" (Msimu 2, kipindi 5)
"Abduction" (Msimu 2, kipindi 6)
"Frame of Mind" (Msimu 2, kipindi 7)
"Retribution" (Msimu 2, kipindi 8)
"Riddance" (Msimu 2, kipindi 9)
"Killing Fields" (Msimu 2, kipindi 10)
2006 George Lopez Brooke "George Vows to Make Some Matri-Money" (Msimu 5, kipindi 19)
2008 Children's Hospital The New Chief "Kipindi #1.10" (Msimu 2, kipindi 10)

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

hariri
  1. "Eva Longoria Biography". people.com. Iliwekwa mnamo 2008-06-13.
  2. Alexander, Bryan. "Eva Longoria & Tony Parker Engaged", people.com, 2006-11-30. Retrieved on 2008-06-13. Archived from the original on 2008-05-27. 
  3. Eva Longoria, Tony Parker Make It Official, Again, USA Today, 7 Julai 2007
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eva Longoria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
INTERN 1