Friedrich Dörr (7 Machi 190813 Mei 1993) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki na profesa wa theolojia wa Ujerumani, anayejulikana kama mtunzi wa nyimbo za Kanisa.

Alikuwa na mchango mkubwa katika kuunda kitabu cha kwanza cha nyimbo za Kikatoliki cha Ujerumani kilichoitwa Gotteslob, kilichochapishwa mwaka wa 1975.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES