Gall, Gallech, Gallen au Gallus (Ireland, 550 hivi - Bregenz, Uswisi, 646 hivi) alikuwa padri mmonaki mmisionari.

Mt. Gall.

Mwanafunzi wa Kolumbani tangu utotoni huko Bangor, akamfuata kwenda kuinjilisha kwa bidii sehemu mbalimbali za Ulaya Bara akaishia katika Uswisi wa leo alipofundisha wamonaki kushika kanuni ya kitawa [1][2][3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Oktoba[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Joynt, Maud, tr. and ed., The Life of St Gall, Llanerch Press, Burnham-on-Sea, 1927. ISBN|0-947992-91-X
  • Schär, Max, Gallus. Der Heikiger in seiner Zeit, Schwabe Verlag, Basle, 2011. ISBN|978-3-7965-2749-4
  • Schmid, Christian, Gallusland. Auf den Spuren des heiligen Gallus, Paulus Verlag, Fribourg, 2011. ISBN|978-3-7228-0794-2
  • Music and musicians in medieval Irish society, Ann Buckley, pp. 165–190, Early Music xxviii, no.2, May 2000
  • Music in Prehistoric and Medieval Ireland, Ann Buckley, pp. 744–813, in A New History of Ireland, volume one, Oxford, 2005

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES