Geneva
jiji katika Uswisi Magharibi
Geneva (Kifaransa: Genève, IPA: [ʒənɛv]; Kijerumani: Genf, IPA: [ˈɡɛnf] ( listen); Kiitalia: Ginevra) ni mji mkuu wa Jimbo la Geneva nchini Uswisi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 187,000.
Jiji la Geneva | |
Mahali pa mji wa Geneva katika Uswisi |
|
Majiranukta: 46°12′0″N 6°9′0″E / 46.20000°N 6.15000°E | |
Nchi | Uswisi |
---|---|
Majimbo | Jimbo la Geneva |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 187.000 |
Tovuti: www.ville-ge.ch |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Geneva kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |