Giselle Anne Ansley (amezaliwa 31 Machi 1992) ni mchezaji wa mpira wa magongo ambaye anacheza kama mlinzi wa timu ya Hoofdklasse ya Uholanzi na pia anachezea timu ya taifa ya Uingereza.[1][2]

Giselle Ansley mnamo 2013
Giselle Ansley mnamo 2013

Tanbihi

hariri
  1. "Page N15 | Supplement 61803, 31 December 2016 | London Gazette | The Gazette". www.thegazette.co.uk. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. https://www.gov.uk/government/uploads/system/uploads/attachment_data/file/580999/new-years-honours-2017-full-list.pdf

Marejeo

hariri
  1. "No. 61803". The London Gazette (Supplement). 31 December 2016. p. N15.
  2. "New Year's Honours List 2017" (PDF). www.gov.uk. HM Government of the United Kingdom. 31 December 2016. Retrieved 31 December 2016.
  NODES