Gonçalo Matias Ramos (alizaliwa 20 Juni 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ureno, ambaye anacheza kama mshambuliaji mkabaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ureno.[2]

Goncalo Ramos akiwa Benfica 2020

Marejeo

hariri
  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce44/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Gonçalo Ramos". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 2001-06-20. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gonçalo Ramos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES