Henrik Johan Ibsen (*20 Machi 1828 - 23 Mei 1906) alikuwa mwandishi wa Norwei. Aliandika hasa maigizo amesifiwa kimataifa kama "baba wa igizo la kisasa".

Ibsen mzee

Ibsen aheshimiwa kuwa mkubwa kati ya waandishi wote wa Norwei.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henrik Ibsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1