Heri

Hali ya kuwa na hisia za kupendeza

Heri (kwa Kilatini: Felicitas; kwa Kigiriki: Eudaimonia) ni hali ya raha kamili inayotazamiwa na watu wa dini mbalimbali kuwa itapatikana baada ya kifo na kudumu milele. Ni zaidi sana kuliko furaha.

Sehemu ya sanamu Mt. Teresa wa Avila kutoka nje ya nafsi iliyochongwa na Gian Lorenzo Bernini.

Katika Ukristo

hariri

Katika Ukristo heri inatazamwa kuwa ndiyo lengo kuu la viumbehai kadiri ya mpango wa Muumba, kama alivyoeleza Thomas Aquinas[1]: "Wote wanakubaliana kuhusu lengo kuu, yaani heri."[2] Aquinas alikubali hoja ya Aristotle ya kwamba heri inahitaji kutafutwa kwa kujipatia maadili.[3]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Aquinas, Thomas. "Question 3. What is happiness". Summa Theologiae. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Oktoba 2007.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Summa Theologica: Man's last end (Prima Secundae Partis, Q. 1)". Newadvent.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Novemba 2011. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Summa Theologica: Secunda Secundae Partis". Newadvent.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Mei 2013. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 1
Theorie 1
web 2