Iago Aspas

Mchezaji wa soka wa Hispania

Iago Aspas Juncal (amezaliwa mnamo tarehe 1 Agosti mwaka 1987) ni mchezaji wa soka ya kitaalamu wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu Celta de Vigo iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Hispania.

Iago Aspas

Alitumia zaidi kazi yake na Celta de Vigo akiwa amecheza michezo 279 rasmi juu ya kipindi cha misimu tisa na kufunga mabao 117. Alicheza ligi ya La Liga na klabu yake mwaka 2012 na kuhamia Liverpool F.C. mwaka 2013,akirudi Celta mwaka 2015.

Aspas kwanza alionekana na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2016. Amechaguliwa kuwakilisha nchi katika Kombe la Dunia la mwaka 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iago Aspas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES