Ida Ljungqvist (alizaliwa tarehe 27 Septemba 1981) ni Mtanzania-Mswidi na ni mwanamitindo wa Kiafrika wa kwanza kuchaguliwa kama playboy playmate wa mwezi na ni wa 50 kwa maplaymate wa mwaka.

Ida Ljungqvist

Ida Ljungqvist mwaka 2010.
Amezaliwa Ida Ljungqvist
(1981-09-27)27 Septemba 1981
Tanzania
Tanzania
Kazi yake Mwanamitindo

Maisha yake ya awali

hariri

Ljungqvist alizaliwa Tanzania, mama yake ni Mtanzania wakati baba yake ni raia wa Uswidi [1]. Kutokana na baba yake kufanya kazi katika UNICEF Ljungqvist alinufaika kuweza kuongea lugha za Kiingereza, Kiswahili na Kiswidi. Ljungqvist ana shahada ya mitindo na Masoko.

Familia

hariri

Mwaka 2007 alifunga ndoa na Joshua R. Lang. Baada ya miaka mitano walitalakiana.

Mwaka 2007 Ljungqvist alitambuliwa na aliyekuwa playmate wa mwaka Sara Jean Underwood. [2][3] Machi 2008 alitajwa kama playboy wa playmate wa mwezi na Playmate wa mwaka 2009. Na yeye ni mwanamitindo wa kiafrika wa kwanza na wa kiswidi wa pili kutajwa kama playmate wa mwaka. [4]

Tangu awe playmate wa mwaka Ljungqvist amejikita kwenye kazi za Uwezeshaji, teknolojia ya uendelezaji wa kimataifa pamoja na kuongeza ufahamu juu ya shirika na kukusanya fedha.

Marejeo

hariri
  1. "Playmate listing". Iliwekwa mnamo Machi 31, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named MSNBC
  3. Hefner, Hugh M., mhr. (Machi 2008). "Playboy". 55 (3). Chicago Illinois, USA: Playboy Enterprises: 74. ISSN 0032-1478. Playmate of the Year Sara Jean Underwood wasn't shopping for talent when she walked into Bebe in Beverly Hills, but in 26-year-old sales specialist Ida (pronounced "EE-duh") Ljungqvist she spotted a must-have item. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Ida Ljungqyist is chosen Playmate of the Year". Vegas Deluxe. 2009-05-02. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-12. Iliwekwa mnamo 2009-05-03.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ida Ljungqvist kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES