Isla Beata ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Hispaniola. Ni sehemu ya Jamhuri ya Dominikana.

Kisiwa cha Isla Beata

Kina eneo la kilometa mraba 27 ila hakina wakazi.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Isla Beata kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1