James Franck (26 Agosti 188221 Mei 1964) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa enzi ya Wanazi alihamia Marekani. Hasa alifanya utafiti upande wa nadharia ya atomu. Mwaka wa 1925, pamoja na Gustav Hertz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

James Franck


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Franck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 2
os 2