Leo James Rainwater (9 Desemba 191731 Mei 1986) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu na kugundua mfumo isopacha wa kiini cha atomu. Mwaka wa 1975, pamoja na Aage Bohr na Ben Mottelson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

James Rainwater
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Rainwater kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES