Jean-Luc Dehaene (amezaliwa 7 Agosti 1940) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia 7 Machi 1992 hadi 12 Julai 1999.

Jean-Luc Dehaene

Angalia Pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Luc Dehaene kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1