Jessica Alba

Mwigizaji wa Amerika, mwanamitindo na mfanyabiashara

Jessica Marie Alba (alizaliwa 28 Aprili 1981)[1] ni mwigizaji na mfanyabiashara wa Marekani.[2][3][4]

Jessica Alba
Jessica Alba, mnamo Mei 2016.
Jessica Alba, mnamo Mei 2016.
Jina la kuzaliwa Jessica Marie Alba
Alizaliwa 28 Aprili 1981 (1981-04-28) (umri 43)
Jina lingine Jessica Warren
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1992 - hadi leo
Ndoa Cash Warren (2008-hadi leo)
Watoto 3

Alianza maonyesho yake ya televisheni na filamu akiwa na umri wa miaka 13 katika Camp Nowhere na The Secret World of Alex Mack mnamo mwaka 1994, na alipata umaarufu akiwa na umri wa miaka 19 kama kiongozi, mwigizaji wa kipindi cha televisheni cha Dark Angel (2000-2002), ambapo alipata uteuzi wa Golden Globe.[5]

Filamu

hariri
Mwaka Filamu Kama Maelezo
1994 Camp Nowhere Gail
1995 Venus Rising Young Eve
1999 P.U.N.K.S. Samantha Swoboda
Never Been Kissed Kirsten Liosis
Idle Hands Molly
2000 Paranoid Chloe
2003 The Sleeping Dictionary Selima
Honey Honey Daniels
2005 Sin City Nancy Callahan
Fantastic Four Susan Storm / Invisible Woman
Into The Blue Sam
2007 The Ten Liz Anne Blazer
Knocked Up Mwenyewe
Fantastic Four: Rise of the Silver Surfer Susan Storm / Invisible Woman
Good Luck Chuck Cam Wexler
Meet Bill Lucy
Awake Sam Lockwood
2008 The Eye Sydney Wells
The Love Guru Jane Bullard
2010 The Killer Inside Me Joyce Lakeland
Valentine's Day Morley Clarkson
Machete Special Agent Sartana Rivera
Marissa Rivera
An Invisible Sign Mona Gray
Little Fockers Andi Garcia
2011 Spy Kids: All the Time in the World Marissa Wilson
2012 Martin Scorsese Eats a Cookie Mwenyewe
2013 A.C.O.D. Michelle
Escape from Planet Earth Lena
Machete Kills Sartana
2014 Sin City: A Dame to Kill For Nancy Callahan
Stretch Charlie
Some Kind of Beautiful Kate
2015 Barely Lethal Victoria Knox
Entourage Mwenyewe
2016 The Veil Maggie Price
Dear Eleanor Daisy
Mechanic: Resurrection Gina
2017 El Camino Christmas Beth Flowers
2019 Killers Anonymous Jade
2024 Trigger Warning Parker

Tamthilia

hariri
Mwaka Tamthilia Kama Maelezo
1994 The Secret World of Alex Mack Jessica Vipindi 3
1995–1997 Flipper Maya Graham Vipindi 44
1996 ABC Afterschool Special Christy Kipindi: "Too Soon for Jeff"
Chicago Hope Florie Hernandez Kipindi: "Sexual Perversity in Chicago Hope"
1998 Brooklyn South Melissa Hauer Kipindi: "Exposing Johnson"
Beverly Hills, 90210 Leanne Vipindi 2
Love Boat: The Next Wave Layla Kipindi: "Remember?"
2000-2002 Dark Angel Max Guevara / X5-452 Vipindi 42
2003 MADtv Jessica Simpson Kipindi: #9.5
2004 Entourage Herself Kipindi: "The Review"
2005 Trippin' Vipindi 2
2009 The Office Sophie Kipindi: "Stress Relief"
2010 Project Runway Judge Kipindi: "Sew Much Pressure"
2013 Comedy Bang! Bang! Mwenyewe Kipindi: "Jessica Alba Wears a Jacket with Patent Leather Pumps"
2014 The Spoils of Babylon Dixie Mellonworth Vipindi 4
2015 RuPaul's Drag Race Judge Kipindi: "Spoof! (There It Is)"
2017 Planet of the Apps Herself Mentor
2018 No Activity Kipindi: "The Actress"
2019-2020 L.A.'s Finest Nancy McKenna
2023 StoryBots: Answer Time Ms. Pizza Delivery Lady Kipindi: "Time and Distance"

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jessica Alba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "UPI Almanac for Wednesday, April 28, 2021", United Press International, April 28, 2021. "... actor Jessica Alba in 1981 (age 40)..." 
  2. O'Connor, Clare. "How Jessica Alba Built A $1 Billion Company, And $200 Million Fortune, Selling Parents Peace Of Mind". Iliwekwa mnamo Juni 15, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Roiz, Jessica Lucia (Mei 22, 2015). "Jessica Alba Opens Up On Being A Successful Businesswoman". Latin Times. Iliwekwa mnamo Juni 15, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Leahey, Colleen (Septemba 27, 2012). "10 Most Powerful Women Entrepreneurs". Fortune. Iliwekwa mnamo Juni 15, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Jessica Alba". www.goldenglobes.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Machi 26, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  NODES
INTERN 1
Project 1