Jonas Wind

Mchezaji wa kandanda wa chama cha Denmark

Jonas Older Wind (alizaliwa 7 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Udeni.

Jonas Wind

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonas Wind kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
os 3