Jonathan Glao Tah (alizaliwa 11 Februari 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Jonathan Tah

Marejeo

hariri
  1. "Jonathan Tah". worldfootball.net (kwa Kiingereza). 2022-09-22. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonathan Tah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES