Karlskrona ni manispaa na mji nchini Uswidi.Kuna wakazi 32,606 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1680.

Kanisa la Fredrik

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 21.36 km². Iko katika kaskazini ya nchi kando la Bahari ya Baltiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karlskrona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 2