Katerina wa Aleksandria
Katerina wa Aleksandria (kwa Kigiriki: Αἰκατερίνα ἡ Μεγαλομάρτυς; 282-305 hivi) alikuwa bikira Mkristo wa Aleksandria, Misri, ambaye aliuawa kwa amri ya kaisari Maxentius mwanzoni mwa karne ya 4[1].
Kadiri ya mapokeo, alikuwa wa ukoo maarufu[2] tena msomi.
Mwanamke aliyejaliwa akili kali, hekima na juhudi, kisha kuongokea Ukristo akiwa na umri wa miaka 14, aliongoza watu mia kadhaa kumfuata katika dini hiyo[3].
Tangu alipofia dini anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba au 25 Novemba.[4][5][6]
Masalia yake yanaheshimiwa sana kwenye monasteri juu ya mlima Sinai[7].
Picha
hariri-
Mchoro wa Konrad Witz.
-
Katerina akisoma tena, 1520 hivi.
-
Mchoro wa Master of the Legend of Saint Lucy, karne ya 15.
-
Mchoro wa Lorenzo Lotto.
-
Mchoro wa ukutani wa karne ya 15 huko Urtijëi, Italia.
-
Mchoro wa Hans Memling.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Clugnet, Léon. "St. Catherine of Alexandria." The Catholic Encyclopedia. Vol. 3. New York: Robert Appleton Company, 1908. 1 May 2013". Newadvent.org. 1908-11-01. Iliwekwa mnamo 2013-08-26.
- ↑ "Great Martyr Catherine of Alexandria".
- ↑ "Saint Catherine of Alexandria". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2010-10-29.
- ↑ Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 1969), p. 147
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)
- ↑ http://catholicsaints.info/saint-catherine-of-alexandria/
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/79050
Marejeo
hariri- Allen, Prudence, The concept of woman: the Aristotelian revolution, 750 BC-AD 1250, 1997 (2nd edn.), Wm. B. Eerdmans Publishing, ISBN 978-0-8028-4270-1
- Walsh, Christine. The Cult of St Katherine of Alexandria in Early Medieval Europe, (Ashgate 2007)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Passio sanctae Katharinae — 11th century (between 1033–1048); at Latin Wikisource
- Details of Saint Catherine's life Ilihifadhiwa 25 Februari 2008 kwenye Wayback Machine. — Saint Catherine Orthodox Church; includes a gallery of icons of the saint
- St Catherine's church in Muhu island (Estonia) Ilihifadhiwa 7 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- Representations of Saint Catherine Ilihifadhiwa 4 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
- St. Catherine of Alexandria at the Christian Iconography web site
- "The Life of St. Catherine, Virgin and Martyr" from the Caxton translation of the Golden Legend
- Colonnade Statue St Peter's Square
- [1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |