Kianyin
Kianyin ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Ghana inayozungumzwa na Waanyin. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kianyin nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 610,000. Tena mwaka wa 2003 kumehesabiwa wasemaji 250,000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianyin iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kianyin kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kianyin Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kianyin katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/any
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianyin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |