Kibiak
Kibiak ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabiak kwenye visiwa vya Biak, Numfor na Mapia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibiak imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiak iko katika kundi la Kibiakiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibiak kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibiak Ilihifadhiwa 17 Aprili 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibiak katika Glottolog
- lugha ya Kibiak kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibiak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |