Kicua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wacua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kicua imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicua iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
eth 1