Kigeli V Ndahindurwa

Mfalme wa Rwanda

Kigeli V Ndahindurwa (Jean-Baptiste Ndahindurwa; 29 Juni 1936 - 16 Oktoba 2016) alikuwa mfalme wa mwisho kutawala (Mwami) wa Rwanda, kuanzia 28 julai 1959 hadi mwisho wa mamlaka ya umoja wa mataifa na utawala wa ubelgiji na kutangazwa kwa uhuru wa jamhuri ya Rwanda tarehe 1 Julai 1962.[1][2][3]

Kigeli V muda mfupi kabla ya kifo chake, katika klabu ya taifa ya Liberal jijini London

Marejeo

hariri
  1. "Rwanda: Clan of the dynasty Abanyiginya". Immigration and Refugee Board of Canada. 31 Oktoba 2002.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "A King With No Country". Washingtonian. 27 Machi 2013.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Alison Des Forges (2011). Defeat Is the Only Bad News. University of Wisconsin Press. uk. 245. ISBN 9780299281434.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigeli V Ndahindurwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES