Kijava ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wajava kwenye kisiwa cha Java ambapo ni lugha rasmi ya jimbo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijava imehesabiwa kuwa watu milioni 84.3. Pia kuna wasemaji 300,000 nchini Malaysia (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijava iko katika kundi lake lenyewe la Kijava.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijava kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 1