Kikoti
Kikoti ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wakoti. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikoti imehesabiwa kuwa watu 77,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikoti iko katika kundi la P30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikoti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikoti Ilihifadhiwa 12 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikoti katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/eko
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |