Kipanga F.C.
Klabu ya mpira wa Miguu ya Kipanga (kwa Kiingereza Kipanga Football Club, au kwa kifupi Kipanga) ni klabu ya soka kutoka Afrika Mashariki yenye maskani yake visiwani Zanzibar .
Timu hiyo ilishinda taji la Ligi Kuu ya Zanzibar mwaka 2000. [1]
Mafanikio
hariri- 2000
Matokeo mashindano ya CAF
hariri- Kombe la Shirikisho la CAF : Mchezo 1
- 2005 - Hatua ya mtoano
Uwanja
haririKwa sasa timu inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Kipanga . [2]
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Kipanga F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |